METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, August 24, 2017

ZIARA YA RAIS WILAYA YA MKOANI PEMBA LEO

DSC_4823
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wazee na Viongozi wa CCM alipowasili Kijiji cha Milimuni Chokocho kuweka Jiwe la Msingi tawi la CCM Kijijini hapo leo  akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,
DSC_4849
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuliweka jiwe la msingi Tawi la CCM Milimuni Kijiji cha Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo
DSC_4918
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM alipoweka jiwe la msingi Tawi la CCM Milimuni Kijiji cha Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo,
Picha na Ikulu.24/08/2017.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com