Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Katibu
Mtendaji wa SADC Dkt. Stergmena Tax baada ya kufungua Mkutano wa siku
tano kwa Mawaziri wa Sekta ya Afya na Ukimwi kwa Nchi Kumi na Sita
Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Unaojadili
Mustakbali wa Masuala yote ya afya, Mikakati dhidi ya Ukimwi, kuangalia
hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Itifaki ya Afya ya SADC ya
Mwaka 1999, Mpango Mkakati wa Kanda wa Masuala ya Afya na kuridhia kwa
pamoja Maazimio mbalimbali yanayohusiana na Afya kwa Nchi za SADC.
Mkutano huo Umefunguliwa leo Novemba 07,2019 katika Ukumbi wa Mikutano
wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa
Afya Mhe. Ummy Mwalimu alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki
Kuu ya Tanzania (BOT CC) Jijini Dar es salaam leo Novemba 07, 2019 kwa
ajili ya kufungua Mkutano wa siku tano kwa Mawaziri wa Sekta ya Afya na
Ukimwi kwa Nchi Kumi na Sita Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC) Unaojadili Mustakbali wa Masuala yote ya afya,
Mikakati dhidi ya Ukimwi, kuangalia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji
wa Itifaki ya Afya ya SADC ya Mwaka 1999, Mpango Mkakati wa Kanda wa
Masuala ya Afya na kuridhia kwa pamoja Maazimio mbalimbali yanayohusiana
na Afya kwa Nchi za SADC. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa siku
tano kwa Mawaziri wa Sekta ya Afya na Ukimwi kwa Nchi Kumi na Sita
Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Unaojadili
Mustakbali wa Masuala yote ya afya, Mikakati dhidi ya Ukimwi, kuangalia
hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Itifaki ya Afya ya SADC ya
Mwaka 1999, Mpango Mkakati wa Kanda wa Masuala ya Afya na kuridhia kwa
pamoja Maazimio mbalimbali yanayohusiana na Afya kwa Nchi za SADC.
Mkutano huo Umefunguliwa leo Novemba 07,2019 katika Ukumbi wa Mikutano
wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT CC) Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Baadhi ya
Wajumbe baada yakufungua Mkutano wa siku tano wa Mawaziri wa Sekta ya
Afya na Ukimwi kwa Nchi Kumi na Sita Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo
Kusini mwa Afrika (SADC) Unaojadili Mustakbali wa Masuala yote ya afya,
Mikakati dhidi ya Ukimwi, kuangalia hatua iliyofikiwa katika
utekelezaji wa Itifaki ya Afya ya SADC ya Mwaka 1999, Mpango Mkakati wa
Kanda wa Masuala ya Afya na kuridhia kwa pamoja Maazimio mbalimbali
yanayohusiana na Afya kwa Nchi za SADC. Mkutano huo Umefunguliwa leo
Novemba 07,2019 katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania
Jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment