METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, August 22, 2017

Prof. Elisante Awataka Maafisa Utamaduni Mkoani Pwani Kuzingatia na Kuheshimu Muda Katika Kutekeleza Majukumu Yao ya kila siku

Pix 1
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel ( kushoto) akieleza jambo wakati wa kikao na Maafisa Utamaduni  na watendaji wa Mkoa wa Pwani katika ziara yake ya kikazi jana mkoani hapo  lengo ikiwa ni kuwahamasisha maafisa hao kufanya kazi  kwa kuzingatia utamaduni wa kutunza na kuheshimu muda ili kuleta matokeo chanya kwa jamii  kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo.
Pix2
Baadhi ya wajumbe wa kikao waliohudhuria kikao kazi wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel Jana Mkoani Pwani.
Pix 3
Katibu Mkuu  Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Mkoa wa Pwani wakati wa   ziara yake ya kikazi  jana mkoani hapo .
Pix 4
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (wa kwanza kushoto) akimsikiliza Mkuu wa kituo cha Makumbusho cha Caravan Serai  Bibi. Reinfrida Kapela  (kulia) wakati wa ziara yake ya kikazi  jana Mjini Bagamoyo, katikati ni Katibu Tawala Wilaya ya Bagamoyo Bibi. Erica Yegela.
Pix 5
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel ( kulia) akipata maelekezo kutoka kwa  Mkuu wa kituo cha Makumbusho cha Caravan Serai  Bibi. Reinfrida Kapela (kushoto) namna ambavyo wanawake wa Mji wa Bagamoyo walivyokuwa na utamaduni wa kutengeneza urembo wa liwa kwa  kutumia jiwe wakati wa ziara yake ya kikazi jana Mjini hapo.
Pix 6
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (wa kwanza kushoto) akifafanua jambo kwa  Mkuu wa kituo cha Mji Mkongwe Bw. Noel Laswai (katikati)  katika ziara yake ya kikazi Wilayani Bagamoyo kulia ni Katibu Tawala Wilaya ya Bagamoyo Bibi.Erica Yegela

(Picha na Lorietha Laurence-WHUSM)
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com