Wakiwa katika picha ya
pamoja,Naibu spika, Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto) akiwa pamoja na
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii, Mhe. Jajimstaafu,Thomas Mihayo (kushoto)
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Bi. Devota Mdachi na Afisa
Uhusiano Mkuu wa TTB, Bw. Geofrey Tengeneza.
NaibuSpika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia AcksonametembeleaBodi ya Utalii Tanzania
(TTB) na kutana na uongozi wa Bodi kwa lengo la
kubadilishanamawazokuhusumasualambalimbaliyanayohusuutalii wa Tanzania.
Katikaziarahiyo, Dr Tulia
alipatamaelezokuhusushughulizinazofanywanaBodihiyo pamoja na
namnainavyoshirikiana na wadauwengine wa
utaliikatikakuvitangazavivutiovya Tanzania na maendleo ya sektahiyo kwa
ujumlahapanchini.
0 comments:
Post a Comment