Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani
Kikwete leo amegawa vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Chalinze
zinazoshiriki mashindano ya kombe la Mazingira linaloshirikisha timu za
wilaya ya Bagamoyo. Hapa picha mbalimbali zikionyesha Mbunge huyo
akigawa vifaa vya michezo kwa viongozi mbalimbali wa vilabu vya mpira
katika jimbo hilo.
Saturday, August 12, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza weledi katika kazi wakati wa kikao kazi kilichofanyika katika Ofisi za Kampuni ya mb...
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI na Mbunge wa Kisarawe Selemani Jafo akijiandaa kukata keki katika katika sherehe ya kuwapongeza...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Mkuu wa Idara ya Utafiti na Machapisho ESRF, Profesa Fortunata Makene akitoa neno la ukaribisho kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa ESR...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment