Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani
Kikwete leo amegawa vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Chalinze
zinazoshiriki mashindano ya kombe la Mazingira linaloshirikisha timu za
wilaya ya Bagamoyo. Hapa picha mbalimbali zikionyesha Mbunge huyo
akigawa vifaa vya michezo kwa viongozi mbalimbali wa vilabu vya mpira
katika jimbo hilo.
No comments:
Post a Comment