Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Balozi wa Morocco nchini, Mheshimiwa
Abdelilah Benrwayane katika futari aliyoiandaa kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma, Juni 8, 2017.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge, Azan Mussa
Zungu (kulia kwake), Mbunge wa Mbarali, Haroon Mulla Pirmohamed (wapili
kushoto) na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na
Rushwa, Valentino Mlowola katika futari iliyoandaliwa wa Waziri Mkuul
Kassim Majaliwa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 8, 2017
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mbunge wa Nsimbo, Mhandisi Richard
Mbogo baada kufuturisha kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 8,
2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment