Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Taifa comrade Shaka Hamdu jana amehudhuria hafla ya futari iliyoandaliwa na kada wa Chama cha mapinduzi na Mjumbe mkutano Mkuu wilaya ya Kigamboni comrade Abdul Wahid Swai.
Katika hafla hiyo Katibu Mkuu shaka amewataka waumini wote kuwa wamoja na kuendeleza mashirikiano baina yao na jamii nyingine has a katika kipindi hiki cha mgungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.
Kwa upande wake #AbdulwahidSwai aliwashukuru na kuwapongeza wote waliofika katika hafla hiyo na kuwataka hasa vijana kuipigania na kuitetea amani iliyopo, maana vijana Leo hii ndio wanaweza kua ngazi ya uvunjifu wa amani.
#FutariKigamboni
0 comments:
Post a Comment