METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, June 18, 2017

Mashindano ya kuhifadhi Qur-an Jimbo la Kikwajuni yarindima Zanzibar

Mashindano ya kuhifadhi Qur-an ya Jimbo la Kikwajuni yanaendelea muda huu katika viwanja vya kisongo ndani ya Mashindano hayo pia kunaulizwa maswali ya papo kwa papo na washindi wanapewa zawadi unaweza kufika muda huu kuungana na waislamu wezio katika jambo hili adhimu *INSHAALAH*

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com