"Maana hasa hapa vikaoni(makambini) tu nakuja kutengeneza siasa ya chama,tu nakuja kujisahihisha katika siasa ya chama".
<Majadiliano ya mkutano mkuu wa Tanu,1971:297.
Chama tunachokiunda tu nataka kiwe kiungo Kati ya wana mapinduzi wa Tanzania na wana mapinduzi wenzetu kokote waliko.
<Na Afro-Shiraz party,1977:7>
Chama chetu kimeshika hatamu sana sasa. Tumepata uongozi wa nchi thabiti na hasa wa kikatiba.Tulihitaji viongozi wa kuongoza Tanzania wa namna mpya,sasa ndivyo ilivyo tumepata.
<Majadiliano ya mkutano mkuu wa kawaida wa ccm octoba,1982:432>
Kujisahihisha kwanza ni uhodali,ujasiri na huwa ni sifa kuu ya uzalendo,Chama kinajisahihisha sasa.
Hiyo ndio ccm iliyokuwa na vijana wenye mapenzi mema kwa Taifa,vijana wale ni wazalendo,wengine walitembea kutoka musoma to mwanza,wengine walituma ujumbe wa watu kutoka ujiji to dar,wengine mwanza to dar lengo ni kuunga maendelo yaliyofanya na ndio uzalendo haswa.
Ccm inajirejesha kwenye misingi ya kuanzishwa kwake,ccm yaani ilikuwa TANU ambayo ni WATU na HAKI- hivyo Chama hiki ni watu na haki bila mambo hayo hakuna haja ya ccm kuwepo,ni bora sasa kujiweke katika msingi wa chenyewe kuanzishwa nacho Chama kimejireshesha sasa.
Kazi ndio kwanza sasa...lazima Tanzania iliyokuwa imebaki ndoto mioyoni mwa waasisi wetu iwe dhahiri kwa kizazi hiki kupitia umakini wa watanznaia kwa kuiweka uongozini ili kuleta uhalisia wa ndoto za waasisi wetu.
Zenda Daniel Humphrey Polepole ,Beatrice Condrad Salumu Bwanamdogo ,Robert Zambwe, Debora Charles.
0 comments:
Post a Comment