
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Amani Kaborou
Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma Naomi Kapambala
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj
Abdallah Bulembo akiagana na Mwenyekiti wa Jumuia hiyo mkoa wa Kigoma.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiwa na Nkuu wa wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala kabla ya kuagana
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala
KUWASILI BIHARAMILO🔽
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akisalimia badhi ya wana
CCM walimpokea katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera
leo jioni
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimsalimia Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Kagera, Oliva Semguruka
Mbunge
wa Viti Maalm mkoa wa Kagera Oliva Semguruka akikumbatiana mwandishi wa
habari Uhuru Happy Mtweve baada ya kukutanishwa na ziara ya Bulembo
Wilayani Biharamulo mkoani Kagera,leo
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na baadhi ya
viongozi wa CCM na Jumuia zake waliompokea kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya
Boharamulo mkoani Kagera leo jioni
Baadhi
ya madereva na Maofisa wa Jumuia ya Wazazi Tanzania wakipumzika
kivulini baada ya Mkuu wa Msafara, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj
Abdalla Bulembo kuwasili hotelini kwa ajili ya mapumziko baa ya kuwasili
Wilayani Biharamulo mkoani Kagera
0 comments:
Post a Comment