Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Habari , Utamaduni sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe Ameyaasa Majeshi ya Tanzania Kendeleza Michezo ili Kukuza na Kulea Vipaji vitakavyolinufaisha Taifa.
Dk Mwakyembe ameyasema hayo wakat akifungua Michuano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi maarufu kama CDF CUP Sherehe zilizofanyika katika Uwanja Uhuru Jijini Dar es Salaam
'Mchango wa Jeshi Katika kuleta Heshima Nchini ni Mkubwa mno kwani Mara Nyingi ukisikia tumefanya Vizuri Kimataifa Utakuta Mshindi ni Mwanajeshi Kwa kweli nawapongeza sana' Alisema Waziri Mwakyembe
Michuano hiyo inafanyika kwa mara ya Nne ikiwa na Dhamira ya kuchagua Vikosi vya Michezo mbalimbali vitakavyoshiriki kwenye Michuano ya Majeshi Ya Afrika Mashariki itakayotimua Vumbi huko Bujumbura Nchini Rwanda mwezi Agosti Mwaka Huu
Akihitimisha Kwa Shukrani Msimamizi Mkuu wa Michezo Bregedia Jenerali Issa Nassor amewashukuru sana wadhamini wa Michuano hiyo Ikiwemo Bank ya Taifa Nmb, The People Bank of Zanzibar na Tanzania Breweries LTD (TBL) .
0 comments:
Post a Comment