Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua
Kongamano kuhusu Mmonyoko wa Maadili lililoandaliwa na Baraza Kuu la
Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius, kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 24, 2017. (Picha
na Ofisi ya Waziri
Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya
Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya, Nchini, Rogers Siyanga
akizungumza katika Kongamano kuhusu Mmonyoko wa Maadili lililoandaliwa
na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na kufunguliwa na Waziri
Mkuu, kassim Majliwa kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius,
kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 24, 2017.
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania,
Alhaji Abubakary Zuberi akizungumza katika Kongamano kuhusu Mmonyoko wa
Maadili lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na
kufunguliwa na Waziri Mkuu, kassim Majliwa kwenye Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius, kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 24,
2017.
Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais
TAMISEMI, Selemani Jafo akizungumza katika Kongamano kuhusu Mmonyoko wa
Maadili lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na
kufunguliwa na Waziri Mkuu, kassim Majliwa kwenye Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius, kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 24,
2017.
0 comments:
Post a Comment