METDO Tanzania

METDO Tanzania

Saturday, October 5, 2019

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aweka jiwe la msingi, katika kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili


 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,  akiweka jiwe la msingi, katika kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili, eneo Misuna, katika Wilaya ya Singida Oktoba 5.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Meneja Mradi wa kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili, Peter Kigadye, kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo, eneo Misuna, katika Wilaya ya Singida Oktoba 5.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com