METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, March 14, 2017

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MRADI WA KIDIJITALI KWA SHULE ZA MSINGI DODOMA MJINI

bvvvv
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mradi wa Pro Futuro  Bi. Rosemary Terry (kushoto) juu ya Vishikwambi (Ipad) vitakavyotumika katika kufundishia shule 10 zilizopo ndani ya jimbo la Dodoma mjini, kulia ni Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Anthony Mavunde . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com