Mbunge akibadilishana na moja wa wazee maarufu katika kata ya Bwilingu Aliyejulikana kwa jina la Mzee Mbise , baada ya mkutano na wananchi. |
Mwenyekiti wa kitongoji cha Bwilingu Ndg. Saidi Khalfan akieleza jambo katika mkutano wa wananchi wa Kitongoji cha Bwilingu huku Mbunge akichukua maelezo ya wananchi hao na wa pili kutoka kushoto ni Diwani wa Kata ya Bwilingu Ndg. lufunga wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa mamlaka ya mji mdogo Ndg. Hussein Mlamba. |
Mbunge Ridhiwani akizungumza na wananchi walijitokeza kituoni hapo hawapo pichani katika siku ya Ukimwi Duniani |
Katika zoezi hilo watu walijitokeza kupima wakiongozwa na Mbunge wao, watu watatu waligundulika kuwa na maambukizi virusi vya HIV kati ya watu 81 waliojitokeza kupima..
0 comments:
Post a Comment