Bango liliandaliwa kwa ajili ya Maadhimisho hayo

Katibu
Tawala wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akiwasili kwenye Viwanja vya
Shule ya Msingi Mwembeni, Vngunguti kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya
siku 16 za kupinga ukatili wa Jinsia na watoto kwenye Viwanja vya Shule
ya Msingi Mwwembeni, wilayani humo mkoani Dar es Salaam, leo. Pamoja
naye ni Kamanda wa Polisi Ilala, Salum Hamdani.

Katibu
Tawala wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo alifurahia jambo na Kamanda wa
Polisi IlalaSalum Hamdan baada ya kuketi meza kuu

Watoto wakiselebuka kwa burudani ya muziki wakati wa hafla hiyo
Maandamano
maalum yakipita mitaani, kwenda kwenye viwanja vya shule ya msingi
Mwembeni ambako yalipokelewa na Ofisa Tawala wa wilaya ya Ilala Edward
Mpogolo

Mpogolo (P.T)

Ofisa
Tawala wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Kamanda Salum Hamdani na
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye ni Diwani wa Kata ya Vingunguti
Omari Kumbilamoto, wakiwa wamesimama kupokea maandamano hayo.

MC wa shughuli hiyo, Eugen Mwapondele akihamasisha

Watoto kutoka kikundi cha Kituo cha Mwana cha Vingunguti wakiimba wimbo Maalum

Watoto kutoka kikundi cha Kituo cha Mwana cha Vingunguti wakiimba wimbo Maalum

Baadhi ya waliohudhuria wakitoa ujumbe kwa bango

Sheikh Mohammed Mtutuma akisoma dua kabla ya shughuli kuendele

Mratibu wa shughuli hiyo Judith Faustine akiomba dua kabla ya shughuli kuendelea

Msanii kutoka kikundi cha Buyope Youth Centre Mohammed Thabiti, akifanya vitu vyake kuchangamsha shughuli hiyo.

Mohammed thabiti na Peter John wa kikundi cha Buyope wakionyesha uhodari wao katika kucheza ngoma

Sijali Mohammed wa kikundi hicho naye akionyesha umahiri wake katika kucheza ngoma

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omari Kumbilamoto akitoa salamu, baada ya kukaribishwa kuwasalimia wananchi katika hafla hiyo

Mwakilishi wa Taasisi ya WiLDAF akizungumza

Baadhi ya Maofisa wa Polilisi waliohudhuria shughuli hiyo

Baadhi ya maofisa wa Polisi waliohudhuria hafla hiyo

Mtoto
akiwa amepanda na kutulia tuli kwenye uzio ili kuona vizuri kila
kilichokuwa kikifanyika kwenye uzinduzi wa maadhimishohayo

Kamanda wa Polisi Ilala, ACP Salum Hamdani akizungumza wakati wa uzinduzi wa maadhimisho hayo

Katibu Tawala wa Ilala Edward Mpogolo akitoa hotoba yake wakati wa uzinduzi wa maadhimisho hayo. Kuisoma hotuma hiyo Tafadhali>>BOFYA HAPA

Vijana wakifuatilia hotuba ya Mpogolo

Watoto wakiwa wametulia wakati Mpogolo akihutubia

kamanda
wa Polisi Ilala, ACP Salum Hamdani na Katibu tawala wa Ilala Edward
Mpogolo wakiwa wameshika TV tayari kuwakabidhi watoto wa kituo cha Mwana
cha Buguruni, ili waweze kuwa wanaangalia taarifa mbalimbali na
burudani bila kulazimika kutoka kwenye kituo chao. Wapili Kulia ni
Diwani Kumbilamto

wakikabidhi Tv hiyo iliyotolewa na Kamanda Hamdani

Watoto wakimshukuru DAS

Watoto wakimshukuruKamanda Hamdani

Mpogolo
na Kamanda Hamdani wakienda kukagua shughuli za madawati ya Polisi
kuhusu kupinga ukatili wa Jinsia na watoto katika wilaya ya Ilala

Sajenti Doris Gweba wa Dawati la kupambana na ukatili wa kijinsia na watoto Ilala, akitoa maelezo kwa DAS jinsi wanavyofanyakazi

DAS Mpogolo akizungumza na waandishi wa habari mwisho wa uzinduzi huo
Mpogolo akiagana na Makamanda wa Ilala kabla ya kuondoka

Katibu
Tawala wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akiwa tayari kupanda gari
kurudi ofisini baada ya kuzidua maadhimishohayo. Picha zote na Bashir
Nkoromo. Tafadhali ukipenda kusoma Hotuba aliyotoa Mpogolo kwenye
uzinduzi huo
0 comments:
Post a Comment