Mshauri Mwelekezi wa Masuala ya Jinsia kutoka “Women Fund” Profesa Ruth Meena akitoa mada.
Mshauri
Mwelekezi wa Masuala ya Jinsia kutoka “Women Fund” Profesa Ruth Meena
(kulia), akiwasilisha mada juu ya jinsi ya kuingiza masuala ya jinsia
katika mpango kazi wa taasisi wakati wa kikao kazi cha watumishi kutoka
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kilicho fanyika jana katika Ukumbi
wa ofisi za Bunge jijini Dar es Salaam.
Mafunzo yakitolewa.
Picha ya pamoja na mkufunzi. (Imeandaliwa na Monica Laurent wa Ofisi ya Msajili wa Vyama)
0 comments:
Post a Comment