Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akikata utepe kama ishara ya uzinduzi Ujenzi wa madarasa mapya ya
Maandalizi katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kulia)
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma. [Picha na Ikulu.] 06/11/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi
katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa
katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo
Baadhi ya
wanafunzi wa Maandalizi wakiwa na Walimu wao katika sherehe ya Uzinduzi
wa madarasa mapya yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf,ambapo
yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa
wa Kaskazini Pemba,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya
Maendeleo,
Wananchi
wa Shehia za Gando wakiwa katika sherehe ya Uzinduzi wa madarasa mapya
yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf yaliyozinduliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,
akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo.
Wasoma
Utenzi Raya Rashid (kulia) na Fatma Hassan Mshindo wakitoa burudani ya
utenzi wao mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa kusherehekea Uzinduzi wa
madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa
Tassaf katika Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Wananchi
waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa madarasa mapya ya
Maandalizi yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya
Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakifuatilia na
kusikiliza nasaha mbali mbali zilizotolewa katika sherehe hiyo,
Wanafunzi
wa Maandalizi wakiimba wimbo maalum wa kumkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein mara baada ya
kuyazindua madarasa yao katika Skuli ya Gando Wilaya yaWete Mkoa wa
Kaskazini Pemba,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya
Maendeleo Kisiwani Pemba.(P.T)
Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd,Abdalla Joseph Meza
akisoma taarifa ya Ujenzi wa Madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa
kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa
Kaskazini Pemba wakati wa sherehe maalum ya uzinduzi uliofanywa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Viongozi
mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Madarasa mapya
ya Maandalizi yaliyojengwa katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa
Kaskazini Pemba kwa masaada wa Tassaf na kuzinduliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
Mhe,Mohamed Aboud Mohamed wakati wa sherehe ya Uzinduzi wa Jengo la
Madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa msaada wa Tassaf katika
Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kakskazini Pemba.
Baadhi ya
wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Gando wakiwa wamejumuika katika sherehe
ya uzinduzi wa jengo la madarasa mapya ya maandalizi yaliyojengwa
kupitia Tassaf yamezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika ziara ya kuzindua
miradi mbali mbali ya Maendeleo Mikoa ya Pemba,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimkabidhi Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe
Juma,hati maalum ya kukamilisha Ujenzi wa madarasa mapya ya Maandalizi
yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete
Mkoa wa Kaskazini Pemba wakati wa Uzinduzi wa Rasmi wa Madarasa hayo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba ya ufunguzi wa jengo la madarasa mapya ya Maandalizi
yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete
Mkoa wa Kaskazini Pemba,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Mhe,Riziki Pembe Juma,na (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa
Pili wa Rais Mhe,Mohamed Aboud Mohamed.
Baadhi ya
Viongozi waliohudhuria katika sherehe ya uzinduzi wa madarasa mapya ya
Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya
ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,(kutoka kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi,Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara bMaalum
za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir na Mwakilishi wa Tassaf Tanzania Faraji
Mishael,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma
(katikati) mara baada ya kumalizika kwa sherehe za uzinduzi wa madarasa
mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya
Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
0 comments:
Post a Comment