Monday, November 7, 2016

UFUNGUZI WA JENGO LA MADARASA YA SKULI YA MAANDALIZI JUNGUNI

01
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi Ujenzi wa madarasa mapya  ya Maandalizi  katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma. [Picha na Ikulu.] 06/11/2016.
02
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo
03
Baadhi ya wanafunzi wa Maandalizi wakiwa na Walimu wao katika sherehe ya Uzinduzi wa madarasa mapya yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf,ambapo  yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo,
04
Wananchi wa Shehia za Gando wakiwa katika sherehe ya Uzinduzi wa madarasa mapya yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo.
05
Wasoma Utenzi Raya Rashid (kulia) na Fatma Hassan Mshindo wakitoa burudani  ya utenzi wao mbele ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa kusherehekea    Uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
06
Wananchi waliohudhuria  katika sherehe za uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakifuatilia na kusikiliza nasaha mbali mbali zilizotolewa katika sherehe hiyo,
07
Wanafunzi wa Maandalizi wakiimba wimbo maalum wa kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein mara baada ya kuyazindua madarasa yao katika Skuli ya Gando Wilaya yaWete Mkoa wa Kaskazini Pemba,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo Kisiwani Pemba.(P.T)
08
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd,Abdalla Joseph Meza akisoma taarifa ya Ujenzi wa Madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba wakati wa sherehe maalum ya uzinduzi uliofanywa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
09
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa  Kaskazini Pemba kwa masaada wa Tassaf na kuzinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
010
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Mohamed Aboud Mohamed wakati wa sherehe ya Uzinduzi wa Jengo la Madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kakskazini Pemba.
011
Baadhi ya wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Gando wakiwa wamejumuika katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la madarasa mapya ya maandalizi yaliyojengwa kupitia Tassaf yamezinduliwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali ya Maendeleo Mikoa ya Pemba,
012
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,hati maalum ya kukamilisha Ujenzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba wakati wa Uzinduzi wa Rasmi wa Madarasa hayo.
013
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba ya ufunguzi wa jengo la madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,(kulia)  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,na (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Mohamed Aboud Mohamed.
014
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika sherehe ya uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,(kutoka kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara bMaalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir na Mwakilishi wa Tassaf Tanzania Faraji Mishael,
015
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (katikati) mara baada ya kumalizika kwa sherehe za uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.

No comments:

Post a Comment