Mgombea Urais wa marekani Donald Trump
Mgombea
urais wa chama cha Republican Marekani Donald Trump amewaambia wafuasi
wake kuwa shutuma za kukashifu wanawake ni njama ya kumfanya ashindwe
uchaguzi wa Marekani.
Katika mkusanyiko na wafuasi wake huko Florida Trump amekanusha kuwa tuhuma hizo ni uongo.
Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi mkuu nchini humo Trump anaonekana kushindwa dhidi ya mpinzani wake Hillary Clinton.
Mapema
mke wa Rais bi Michelle Obama amemshambulia Trump na kusema kuwa kitendo
cha Trump cha Udhalilishaji wa wanawake ni cha Kushangaza na kutisha.
BBC
0 comments:
Post a Comment