METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, October 24, 2016

PROFESA MAGHEMBE AFUNGA MAFUNZO YA ASKARI WANYAMAPORI KITUO MLELE KATAVI

vyeti-1
Waziri wa  Maliasili  na  Utalii   Prof   Jumanne   Maghembe  akiwahutubia   wahitimu wa   mafunzo ya   ukakamavu  ambao ni wahifadhi wa  wanyama pori kutoka  TANAPA ,   Mamlaka ya  Ngorongoro  na  TAWA mafunzo yaliofanyika  katika  kituo cha  Mlele   Mkoa  wa  Katavi mafunzo hayo yamewashirikisha wahitimu   69  na yalifungwa na   Waziri    wa  Maliasili  na   Utalii   Prof   Jumanne     Maghembe  ambapo   alieleza  kuwa  Serikali   itaendelea  kulinda maliasili kwa  nguvu zote.   Picha   na  Walter  Mguluchuma
vyeti-2
vyeti01
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Profesa Jumanne Maghembe akizungumza wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya askari wanyamapori katika kituo cha Mlele mkoani Katavi.
vyeti3
Waziri wa Maliasili na utalii Prof Jumanne Maghembe akikagua gwarid la wahifadhi wanyamapori  kutoka TANAPA,TAWA na Mamlaka ya Ngorongoro wakati alipokuwa akifunga mafunzo hayo yaiyofanika katika kituo cha mafunzo mlele Mkoani KATAVI.
vyeti4
.Paredi ikipita mbele ya mgeni rasmi waziri wa utalii hayupo pichani wakati wa kufunga mafunzo ya wahifadhi wanyama pori kutoka TANAPA,TAWA, na Mamlaka ya Ngorongoro yaliyofanyika kituo cha Mafunzo Mlele Mkoani KATAVI.
vyeti5
Wahifadhi wa  Wanyama pori kutoka TANAPA  , TAWA  na  Mamlaka ya   Ngorongoro wakilenga  shabaha kwa kutumia risasi za moto wakati wa kufunga mafunzo jana yaliyofungwa na Waziri wa Maliasili  na Utalii  Prof  Jumanne  Maghembe katika  kituo cha  mafunzo cha  Mlele  Mkoani  Katavi .
vyeti6
vyeti7
Wahifadhi wa  Wanyama pori kutoka TANAPA  , TAWA  na  Mamlaka ya   Ngorongoro wakilenga  shabaha kwa kutumia risasi za moto wakati wa kufunga mafunzo  jana yaliyofungwa na Waziri wa Maliasili  na Utalii  Prof  Jumanne  Maghembe katika  kituo cha  mafunzo cha  Mlele  Mkoani  Katavi.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com