DC Ndejembi alimalizia kuzungumza na kaimu Mganga mkuu wa Hospitali hiyo Dk. Rehema ambae alizungumzia Changamoto ya Umeme pale Tanesco wanapokata umeme kwani Generator ni mbovu.
DC kamuahidi Mganga Mkuu kuwa Ndani ya Wiki Hii ataipatia Hospitali ya
Wilaya ya Kongwa Generator ili Kuondoa Kero hiyo ya Umeme pale umeme wa
TANESCO unapokatika.
0 comments:
Post a Comment