Mbunge wa
Mkuranga, Abdallah Ulega akishiriki katika ufyatuaji wa tofali kwa
ajili ya zahanati mpya itakayojengwa katika kijiji cha Tundu jana ikiwa
ni sehemu ya ziara yake kukagua maendeleo wilaya hiyo.
Mbunge wa
Mkuranga, Abdallah Ulega akiwa amebeba tofali alilofyatua kwa mkono
wake akipeleka sehemu ya kuhifadhi ili likaushwe na jua katika kijiji
cha Tundu panapotarajiwa kujengwa Zahanati ya Tundu jana katika ziara
yake kukagua maendeleo ya Wilaya hiyo.
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa Kiiiji cha Maamudi Mpela leo katika ziara yake kutembelea wananchi pamoja na kuwashukuru pamoja na kuwasikiliza kero zao jana mkoani Pwani.
0 comments:
Post a Comment