Hillary Clinton amesema kuwa anasikitika kuwa aliwataja mashabiki wa
mgombezi wa Republican, Donald Trump, kama kundi la watu wasiostahili
heshima.Katika taarifa kwa waandishi wa habari mgombezi huyo wa Urais kwa chama
cha Republican alisema kuwa kuna Wamarekani wengi wanaochapa kazi kwa
bidii wanaoamini kuwa wamepuuzwa na wanasiasa nchini.
Hata hivyo alisema kuwa ataendelea kukebehi watu wenye madharau ubaguzi wa rangi.
Meneja Mkuu wa kampeni wa Bwana Trump alikuwa amemlaumu Bi Clinton kwa
kile alichokitaja kama matusi dhidi ya mamilioni ya raia wa Marekani
aliposema kuwa wale wanaomwunga mpinzani wake walikuwa wabaguzi wa
rangi, wapinzani wa kijinsia, maaduni wa wapenzi wa jinsia moja na
wanaochukia Waislamu.
Sunday, September 11, 2016
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Hai mara baada ya kuwasili Bo...
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Marehemu Abdillah Salim Nyangasa 29 Januari, 1961- 03 Juni, 2020 Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) unasikitika kutangaza k...
-
Mkurugenzi wa uzingativu, ufuatiliaji na tathmini wa (NACTE) Jofrey Oleke akizungumza na waandishi wa habari juu y...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment