Mkuu wa
Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia), akimkabidhi zawadi ya Nembo
ya JWTZ Waziri wa Ulinzi wa Canada, Mhe. Harjit Singh Sajjan (kushoto)
ofisini kwake Makao Makuu Upanga jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ulinzi wa Canada Mhe. Harjit Singh Sajjan (kushoto) akifurahia zawadi ya Kinyago alichokabidhiwa na mwenyeji wake, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) alipomtembelea ofisini kwake Upanga jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment