Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika maungumzo na Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya (kulia), Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi (wapili kulia) na
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Madame Nkosazana Dlamini- Zuma
kabla ya kuanza kwa Mkutano wa African Peer Review Mechanism Forum
(APRM) kwenye ukumbi wa hoteli ya Intercontinental jijini Nairobi Agosti
26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni
kabla ya kuanza kwa Mkutano wa African Peer Review Mechanism Forum
(APRM)kwenye ukumbi wa hoteli ya Intercontinental jijini Nairobi Agosti
26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake wakishiriki katika Mkutano wa African Peer Review Mechanism Forum (APRM)kwenye ukumbi wa hoteli ya Intercontinental jijini Nairobi Agosti 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment