Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akimuuaga PC Prosper Yenda
yenda wa kikosi maalum cha Jeshi la Polisi ( S.F.U) ambaye ni miongoni
mwa askari 14 wanaokwenda nchini Jordan kwa kozi maalum ya kupambana na
uhalifu na wahalifu (Picha na Tamimu Adam- Jeshi la Polisi).
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akiwa katika picha ya pamoja na askari 14 wa kikosi maalum cha Jeshi la Polisi (S.F.U) ambao wanaokwenda nchini Jordan kwa kozi maalum ya kupambana na uhalifu na wahalifu. (Picha na Tamimu Adam- Jeshi la Polisi)
0 comments:
Post a Comment