Scott Walker
Scott
Walker, ambaye ni miongoni wagombea waliokuwa wakiwania kuteuliwa
kugombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican amejiondoa
kutoka kwa kinyanganyiro hicho.
Bwana
Walker ambaye alikuwa gavana wa jimbo la Winscosin amesema amejitoa
kutoka kampeini hizo ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa mgombea muafaka
atakayekabiliana na Donulkd Trump.
Mgombea
huyo, ambaye alikuwa akiungwa mkono kwa wingi na wafuasi wa mrengo wa
kulia, lakini hata hivyo katika kura ya maoni kiwango chake kilishuka
baada ya kufanya vibaya katika midahalo. Scott Walker, mmojawapo wa
wagombea watarajiwa wa urais kwa tiketi ya chama cha Republican
amejiondoa kutoka kwa kinyanganyiro hicho.
Bwana
Walker ambaye alikuwa gavana wa jimbo la Winscosin amesema amejitoa
kutoka kampeini hizo ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa mgombea muafaka
atakayekabiliana na Donulkd Trump.
Mgombea
huyo, ambaye alikuwa akiungwa mkono kwa wingi na wafuasi wa mrengo wa
kulia, lakini hata hivyo katika kura ya maoni kiwango chake kilishuka
baada ya kufanya vibaya katika midahalo.BBC
0 comments:
Post a Comment