Wananchi
wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,
Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Tinde jimbo la Msalala mkoani
Shinyanga, wakati ukiwa njiani kwenda Kahama mkoani humo leo
Mama
akiwa amekwenda na watoto wake, kumshuhudia Mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan msafara wa Mgombea huyo
ulipoziwa na wananchi katika eneo la Tinde jimbo la Msalala mkoani
Shinyanga, wakati ukiwa njiani kwenda Kahama mkoani humo leo
Baadhi
ya wasanii wa Bongo Movie wakishushwa kwenye Pick Up walipowasili
kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,
Mama Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga leo
Wasanii
wa Bongo Movie wakiwasalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano
wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan, uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga(P.T)
Kiongozi
wa kundi la kamapeni za CCM la Mama Ongea na Mwanao, Steven Mangele
maarufu kwa jina la Steve Nyerere, akihamaisha wananchi wakati wa
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani
Shinyanga leo
0 comments:
Post a Comment