METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, July 15, 2015

Wakati wa kuchangia chama na kujaribu Karata yako katika Ubunge na Udiwani Ndani ya CCM mkoa wa Iirina Jimbo la Kalenga siku ya kwanza 0 wakati kwa Lukuvi 3 bila ya Lukuvi.




Katika kuchukua fomu za kugombea nyazifa za ubunge na udiwa katika chama cha mapinduzi hii leo madiwani 7 wamechukua form katika kuwania udiwani viti maalumu wakati mbunge mmoja wa viti maalum na katika jimbo la isman watu watatu wa kugombea nafasi za ubunge wamechukua fomu huku mmoja akirejesha saa saba ba dakika 12 wabunge hao kutoka jimbo la ismani ni pamoja na Festo Kiswaga,Sebastian Kiyoyo na clala ambaye yeye ni waviti maalumu wakati huo huo jimbo la karenga kukiwa hakuna mtu hata mmoja aliyejitokeza kuomba lidhaa ya kuwaongoza wananchi wa jimbo hilo ikiwa zimebakia siku 4.

Festo kiswaga akiwa na mke wake pamoja na katibu wa ccm iringa vijijini akilejesha fomu mara baada ya kuijaza hii leo.(mkakala)

Wakati kwa jimbo la iringa mjini Ado Novemba amechukua fomu ya kugombea wakati mwakalebela akitangaza nia ya kugombea nafasi hiyo kwa kutumia ukumbi ambao adonovemba alitaka kuutumia nakusababisha vurugu na malumbano kwa dakika kadhaa katika eneo hilo la kuchulia fomu, vilevile kwenye umoja wa wananwake viti maalumu wamechukua fomu watu 4.

Wialaya ya Mufindi mufindi kusini  6, Mufindi Kasikazini 1 na Mufindi Mjini 2……..
Katika kinyang’anyilo cha viti maalumu kwa wanawake wakiwepo walemavu 2 kutoka Tanzania bara na wa 2 kutoka visiwani,wanawake kutoka mashirika binafsi2 kwa bara na visiwani 2,wanafunzi wa vyuo 2 bara na visiwani 2 na kutoka vyama mbalimbali vya wafanyakazi wa 2 bara na wa 2 visiwani lakini pia kwa vijana wa umoja wavijana ccm zimetolewa nafasi 10 ambazo wanawake  wanatakiwa kugombea nafasi hii katibu wa vijana mkoa wa iringa Ally Nyauwenga amesema kuwa kutokanan na zoezi hilo kuwa la siku 5 mtu mmoja ameweza kuchukua form kwa siku hii ya leo ambaye ametoka katika manispaa ya iringa.

Katibu wa vijana ccm  mkoa Ally Nyauwenga
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com