DR Tekra Ulio Mganga mkuu wa Kifua
Kikuu.
Tatizo la kifua kikuu kwa mkoa wa iringa tatizo hili
limekuwa kubwa kutokana na ukosefu wa elimu ya kutosha kwa jamii huku kutokuwa
na tabia ya kuwapima watoto ugonjwa wa kifua kikuu imekuwa chanzo kikuu cha
ugonjwa huo kuwa zaidi kwa watoto na sababu kuu ya kuwaelemea watoto hao
ugonjwa huo ni kutokana na sell za watoto hao kutostaimili uwezo wa kupambana
kirusi huyo anae eneza ugonjwa huo, Zaidi anasimulia dr.Tekra Ulio ambaye ni
mganga kuu wa kifua kikuu mkoa wa iringa.
Pia ametoa wito kwa jamii kuweza kuondokana na ugonjwa huo
hususani kwa watoto ambao wazazi wao hupenda kushinda katika makundi ya watu
wengi vilevile dalili za kuwapo kwa ugonjwa huo katika mtoto.
Aidha ametoa wito kwa jamii kuwa na utaratibu wa kuwapeleka
watoto wao mara kwa mara katika vipimo kwani ugonjwa huo hutibika ikiwa
haujathiri mwili zaidi tena bila gharama za matibabu yeyote.
0 comments:
Post a Comment