METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, June 22, 2015

KARIBU KUPITIA MAGAZETI YA LEO JUNE 23,2015

 
Bado wananchi wamekuwa wakipatwa na wakati mgumu katika kufanya maamuzi ya mgombea yupi anafaa kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi ikiwa basi kumfahamu Kiongozi mwadilifu anayefaa kuliongoza taifa hili.

Haya yanakuja kutokana na watangaza nia kuzidi kuwa wengi kila kukicha na kupelekea hadi baraza la mawaziri nao kuenyeshwa kutokupendezwa na kitendo hicho.

Hiyo ni kati ya habari kubwa iliyochukua nafasi kwenye magazeti ya leo,karibu kuyapitia hapa chini.



















Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com