Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri akifungua mkutano wa wadau wa Uchaguzi kuhusu maanadalizi yua Uboreshaji wa Daftari la Kudumnu la Mpiga Kura Mkoani Tabora. Kata ya Ng’ambo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ni miongoni mwa Kata Mbili ambazo zitashiriki Uboreshaji wa Majaribio ambayo yanataraji kufanyika kuanzia tarehe 24 hadi 30 Novemba, 2023.

Wadau mbalimbali wa Uchaguzi wakiwa katika Mkutano huo leo Novemba 20,2023.
Tume ya Taifa
ya Uchaguzi imewaasa wakazi wa maeneo yaliyoteuliwa kwa ajili ya majaribio ya
uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kujitokeza kwa wingi kushiriki
kwenye zoezi hilo ambalo linalenga kupima utayari wa mifumo na vifaa vya
uboreshaji wa Daftari.
Ameongeza kwamba uboreshaji wa majaribio kwenye kata hizo utafanyika katika vituo 16 vya kuandikisha wapiga kura ambapo vituo 10 vipo katika Kata ya Ng’ambo na vituo sita vipo katika Kata ya Ikoma.
Kundi lingine litakalohusika kwenye zoezi hili ni; wapiga kura wanaoboresha taarifa zao ambao wamehama kutoka eneo moja la uchaguzi kwenda eneo lingine, waliopoteza au kadi zilizoharibika, wanaorekebisha taarifa zao na kuondoa wapiga kura waliopoteza sifa za kuwemo katika Daftari.
0 comments:
Post a Comment