METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, September 13, 2023

SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Vietnam nchini Tanzania Mhe. Nguyen Nam Tien katika Ofisi ndogo za Bunge zilizopo Mkoani Dar es Salaam leo tarehe 13 Septemba, 2023. 

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com