Watanzania waobwa kuishi maisha ya kiuchamungu kwa kutenda matendo mema yenye ya kiuchamungu ikiwemo kudumisha ibada hali itakayopelekea kuondoa mambo ya maovu na uhasi uliopo kwa kumtegemea mungu kwa kila kitu.
Wito huo
umetolewa Jijini Dodoma na mke wa Askof Wilbard Ringia,Bi Laura Ringia wakati
akizungumza na vyombo vya habari ambapo
amewataka watanzania kuishi kwa kumtegea Mungu ili kuondoa maasi na maovu
yanayotokea kwasasa.
Aidha Bi
Laura Ringia amesema hakuna kitu kinachoshindikana kwa mungu kwa yeye ndio kila
kitu na yeye ndio mfalme wa wafalme hivyo hakuna Zaidi yake.
“ yesu
ashindwi na kitu chochote kwasababu yeye ndio mfalume wa wafalume na hakuna
wakumtegemea Zaidi yake”
Katika hatua
nyingine amesema kuna baadhi ya watu ambao wamesoma na bado wanamuabudu miungu
kutokana na kufata uongo wa ibilisi na
kuacha kufata mafundisho ya yesu.
0 comments:
Post a Comment