METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, February 7, 2023

WAZIRI JAFO ATETA NA MENEJIMENTI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemeni Jafo akiongoza kikao na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa ajili ya kupitia taarifa za miradi mbalimbali inayotekelezwa na Ofisi hiyo, kikao kilichofanyika leo Februari 07, 2023 jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com