METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, January 10, 2023

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) TAIFA NA RAIS SAMIA APOKEA MATEMBEZI YA UVCCM PAJE ZANZIBAR KATIKA SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 59 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan akipokea Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja 

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan akipokea Bendera kutoka kwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mara Ndugu Marry Daniel kama ishara ya kuhitimisha Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja 

Wazee ambao ni Chipukizi wa zamani wakipita kwa ukakamavu mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja

Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM yakipita mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan katika shamrashamra za 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja 

  

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Vijana wa Umoja wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wakati akihitimisha Matembezi ya Vijana hao katika za kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja

  

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye shamrashamra za kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja 

  

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan akikabidhi Vyeti kwa baadhi ya Wadau waliowezesha  kufanikisha Matembezi ya Vijana wa Umoja wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 10 Januari, 2023.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com