METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, September 6, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MTENDAJI MKUU WA GLOBAL FUND,IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

      

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands ambaye aliambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022. 

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com