METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, September 22, 2022

RAIS DKT. MWINYI AKUKUTANA NA MABALOZI WALIOTEULIWA HIVI KARIBUNI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na  Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali (wa pili kulia)  Mhe.Balozi Simon Nyakoro  Siro  nchini Zimbabwe, Mhe.Balozi Lt.Jen.Mathew E.Mkingule   nchini Zambia na Mhe.Balozi Caroline  Chipeta   nchini Uholanzi mara walipofika Ikulu leo Kujitambulisha na kupata maelekezo ya Kazi watapofika katika vituo vyao vya kazi.[Picha na Ikulu] 22/09/2022. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mhe.Balozi Simon Nyakoro  Siro anaeiwakilisha Tanzania nchini Zimbabwe (aliyesimama)  aliyeteuliwa  hivi karibuni  akiwa na Mabalozi wenzake Mhe.Balozi Lt.Jen.Mathew E.Mkingule   nchini Zambia na Mhe.Balozi Caroline  Chipeta   nchini Uholanzi walipofika Ikulu leo Kujitambulisha na kupata maelekezo ya Kazi watapofika katika vituo vyao vya kazi.[Picha na Ikulu] 22/09/2022. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na  Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali (wa pili kushoto)  Mhe.Balozi Simon Nyakoro  Siro  nchini Zimbabwe, Mhe.Balozi Lt.Jen.Mathew E.Mkingule   nchini Zambia (kushoto)  na Mhe.Balozi Caroline  Chipeta   nchini Uholanzi mara baada ya mazungumzo kupata maelekezo ya Kazi watapofika katika vituo vyao vya kazi walipofika Ikulu leo Kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 22/09/2022.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com