METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, August 12, 2022

RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA IRINGA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege Iringa. Hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi imefanyika katika Mtaa wa Mapanda kata ya Nduli Mkoani Iringa.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mtaa wa Mapanda mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Mradi wa ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Iringa.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com