METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, June 15, 2022

UFUNGUZI WA BARAZA UWT DODOMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiteta jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Ndugu Gaudentia Kabaka wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu la UWT leo tarehe 15 Juni, 2022, Dodoma.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania leo katika Ukumbi wa White House, CCM Makao Makuu Dodoma. 

Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania.

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com