METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, June 30, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CUBA MHE.BRUNO RODRIGUEZ PARRILLA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com