METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, April 13, 2022

KINANA ATETA NA BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI TANZANIA

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, leo Aprili 13 ,2022 katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. 

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania  Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, (kushoto) leo Aprili 13 ,2022 katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimsindikiza  Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania  Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, (katikati) (wa kwanza kushoto) Ndg Ngemela Lubinga Katibu wa Idara ya Siasa Na Uhusiano wa Kimataifa CCM leo katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimuaga Balozi wa Marekani nchini Tanzania  Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, leo April 13 ,2022 katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. (Picha zote na Fahad Siraji)

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com