METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, March 25, 2022

MAJALIWA AZUNGUMZA NA MKUU WA MAJESHI WA JORDAN

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Jenerali  Yousef  Alhunaity  ambaye ni Mkuu wa Majeshi wa Jordan  (The Chairman Chiefs of Staf of the Hashemite Kingdom  of Jordan)  baada ya kushiriki katika mkutano  wa kujadili usalama kwenye eneo la Kusini Mashariki  mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo jirani uliofanyika  Machi 24, 2022 kwenye mji wa Aqaba nchini Jordan. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Mbarouk Nassor Mbarouk.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Jenerali  Yousef  Alhunaity  ambaye ni Mkuu wa Majeshi wa Jordan  (The Chairman Chiefs of Staf of the Hashemite Kingdom  of Jordan) baada  ya kushiriki katika mkutano  wa kujadili usalama kwenye eneo la Kusini Mashariki  mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo jirani uliofanyika  Machi 24, 2022 kwenye mji wa Aqaba nchini Jordan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com