Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zubeir ambaye amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) mkoani Dar es salaam kwa matibabu, Januari 5, 2022. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt. Samweli Swai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Thursday, January 6, 2022
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa amepiga mpira wakati wa Mashindano ya Gofu ya Mabunge ya Afrika Mashariki 2021, yan...
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Nimebahatika kupata fursa kadhaa kukaa na kuzungumza na Mheshimiwa Rais Mstaafu Hayati Benjamin William Mkapa enzi za uhai wake....
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada ya kuaga mwili wa marehemu Midlaster Daniel Nsanz...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment