Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zubeir ambaye amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) mkoani Dar es salaam kwa matibabu, Januari 5, 2022. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt. Samweli Swai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Thursday, January 6, 2022
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Hai mara baada ya kuwasili Bo...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
WAZOHURU ARUSHA: Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Joseph Modestus Mkude amewataka wafanyabiashara Wilayani hapo kushirikiana na Mamlaka ya Mapa...
-
Na Debora Charles (Mtakwimu) Sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusamba...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment