METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, December 8, 2021

SINGIDA ILIVYOCHANGIA KUPATA UHURU WA TANGANYIKA (TANZANIA)

 Ikiwa leo taifa la tanzania likisherekea miaka 60 ya uhuru mkoa wa singida ni miongoni mwa mkioa ambayo imechangia katika harakati za uhuru kwa kulikuwa ni viongozi mashujaa walishiriki katika harakati hizo akiwemo Bi .Liti Hema

Mkuu wa mkoa wa singida Dkt. Binilith Mahenge Amesema yao wakati wa kilele cha maadhimisho kimkoa yalifanyika wilayani manyoni ambako pia rais wa awamu ya kwanza na mpambanaji wa uhuru tunaosherekea hivi sasa Mwalimu Julius Nyerere.








INGIA HAPA UTAZAME NA USIKILIZE ALIVYOSEMA RC DKT. MAHENGE , NA MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI.


Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com