METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, December 16, 2021

RAIS SAMIA AZINDUA KAMATI YA USHAURI YA KITAIFA KUHUSU UTEKELEZAJI WA AHADI ZA NCHI KWENYE JUKWAA LA KIZAZI CHENYE USAWA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akizungumza wakati wa uzinduzi wa kamati ya ushauri ya kitaifa kuhusu utekelezaji wa ahadi za nchi kwenye jukwaa la kizazi chenye usawa hafla iliyofanyika leo Desemba 16,2021 jijini Dodoma.

 

Baadhi ya viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) wakti akizungumza kwenye uzinduzi wa kamati ya ushauri ya kitaifa kuhusu utekelezaji wa ahadi za nchi kwenye jukwaa la kizazi chenye usawa hafla iliyofanyika leo Desemba 16,2021 jijini Dodoma.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com