Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo Novemba 17,2021 Akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ) Makamu wa Rais ameshiriki kama mtoa mada katika mjadala unaohusu Juhudi za Pamoja za Kuijenga Upya Jamii Baada ya Uviko19 kwa Kuepuka Hatari ya Kuongezeka kwa Tabaka baina ya Masikini na Matajiri. Novemba 17,2021.
Wednesday, November 17, 2021
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy A. Mwalimu anapenda kutoa ufafanuzi kuhusu Tamko la Shiri...
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISIEMI Mhe. Sel...
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Mhe. Geoffrey Mwambe, akiwaongoza wataalamu kutoka Wizara hiyo, Wizara ya Mifugo na Uvuvi...
-
Na Munir Shemweta, DODOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametangaza eneo lenye mgogoro wa muda mrefu la Mtakuj...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment